Biashara Yako, Imerahisishwa

Kazi yetu ni kusimamia, kuendesha, kuchambua, kurahisisha, kusaidia, kulinda, kuokoa wakati wako wa thamani na kudumisha ukuaji wa biashara yako.

yako ni kukaa na kupumzika wakati kila kitu kinasonga sawa

Mauzo Jisajili
Hand Mockup

Kuhusu MauzoSheet

Huu ni mfumo wa kimtandao, ambayo umetengeneza mahususi kusaidia wafanya biashara wanaouza bidhaa kwa jumla na rejareja, kwa kuhifadhi taarifa na kuendesha biashara zao kwa urahisi na kisasa zaidi.
Uza, Kopesha bidhaa kwa msaada wa MauzoSheet

Kujiunga na huduma hii unahitaji kujisajili kwa kubonyeza kitufe cha JISAJILI hapo juu na timu yetu ipo tayari kukuhudumia. Kwa tatizo lolote au msaada wasiliana nasi kwa njia zetu za mawasiliano, ili kuanza kufurahia huduma zetu.

Mpangilio Rafiki

Ni tajiri na rahisi katika kuperuzi, mpangilio rahisi, rahisi kuuzowea, na usaidizi wa kibinafsi. Ukiwa na mfumo huu ni starehe haina mwisho

Utendaji Kazi Haraka

Mfumo huu hutumia mashine zenye nguvu kubwa na API za kasi zinazojibu na kutumikia ombi lako kwa njia ya haraka zaidi kadri upendavyo.

Majukwaa Tofauti

Mfumo huu umetengenezwa na kuandaliwa kuweza kufanya kazi katika majukwa tofauti na aina tofauti (Web, Android na iOS) kukupa hitaji lako.

  • Uendeshaji wa Bihashara

    Endesha bihashara zako kwa app moja na akaunti moja

  • Taarifa za stoku

    endesha ukuaji na utunzaji wa wa stoku yaa bidhaa yako

  • Cart & Pledge

    dhibiti mauzo kwa wateja wako kwa mfumo wakikapu

  • taarifa za wafanyakazi

    Pangilia taarifa za wafanyakazi wako na kudhibiti

feature
  • takwimu na taarifa

    Tathmini takwimu za mauzo na biashara yako kwa njia ya grafu

  • Usalama & Usiri

    taarifa zako zipo katika usalama wa hali ya juu na zina kinga dhidi ya uhalifu wa kimtandao

  • Uwepo

    App inapatikana masaa yote 24 na mahali popote

  • Msaada & Support

    Use the feedback feature and contacts on your App to get in touch with us.

FAHAMU ZAIDI

Furahia mfumo wako kwa muonekano maridhawa na mpangilio mkubwa wa vitu.

Mauzo Ya Bidhaa

showcase
showcase

Ufafanuzi na mwenendo wa biashara yako!

Tuna amini wafanyabiashara mbalimbali wanakumbana na changamoto za kuhifadhi kumbukumbu za mauzo, matumizi, madeni, faida, hasara, malipo ya wafanyakazi, taarifa za wateja na kadharika. MauzoSheet inawezesha mfanyabiashara kuhifadhi taarifa hizo na nyingine nyingi kwa urahisi zaidi

tumekuja na muonekano HALISI na RAFIKI kwaajiri yako.

MUONEKANO

Kwa sasa, kuendesha biashara imekuwa rahisi na burudani
kwa muonekano wa kijanja.

screenshot
screenshot
screenshot
screenshot
screenshot

Vifurushi Vyetu

Kuwa nasi, uhitaji kupata tabu kwani tunakupa ukitakacho kwa bei sawa na bure.

Swala

Wafanyabiashara

Tshs5,900

Kwa Mwezi

  • Unlimited   Businesses
  • 10   Products
  • Access  1  Month Data
  •  Employees Management
  •  Statistics and Reports
  •  Advanced Searching
  •  Excel Import and Export
  •  Full Time Support

Chui

Wajasiliamali Wadogo

Tshs9,900

Kwa Mwezi

  • Unlimited   Businesses
  • 70   Products
  • Access  1  Month Data
  •  Employees Management
  •  Statistics and Reports
  •  Advanced Searching
  •  Excel Import and Export
  •  Full Time Support

Twiga

Wajasiliamali Wakubwa

Tshs14,900

Kwa Mwezi

  • Unlimited   Businesses
  • Unlimited   Products
  • Access  All  Data
  •  Employees Management
  •  Statistics and Reports
  •  Advanced Searching
  •  Excel Import and Export
  •  Full Time Support

Njia za Malipo

Tunapokea malipo kutoka mtandao wowote hapo chini.

payment payment payment payment
payment payment

Jinsi ya kulipa

Shuhuda za Wateja

Maneno ya wateja wetu kuhusu Mauzosheet.

author
Tino Chami

Before MauzoSheet, i dreaded the accounting side of my business. Now i can get everything done in a minute and spend time doing what i love (preparing new recipes for my customers).

author
Mussa Ambali

The App is awesome, easy to use and affordable, I just got interested with,
spent a little time to download, install and begin to use it with no obligations.
I hope my life in business will be much easier.

author
Dustan Mbaga

Before MauzoSheet universe, I had opted many different platforms to fulfill my desire with no success.
With it I can easily manage all my businesses without having a copy of the same system
or login in with different credentials.

author
Sabri Pambwe

With my MauzoSheet I see enjoyment is endless as being able to analyze my business
using smooth graphs with just a single click.
I feel proud to have this app.

author
author

Unajambo Tushirikishe?

Tafadhali, jinsikie huru kututumia mawazo au ujumbe wako.